Naibu spika asiwaite wabunge waliohukumiwa Waheshimiwa

YEHODAYA

JF-Expert Member
Aug 9, 2015
36,911
51,889
Naona naibu spika ulimi wake umekuwa ukiteleza.Mtu akihukumiwa ni mhalifu hatakiwi kumwita mheshimiwa.Hata anaposoma maazimio ya bunge mfano anamsimamisha Godbless Lema AU sugu.Aseme ninatangaza kuwasimamisha Godbless Lema na sugu.Asiseme ninawasimamisha waheshimiwa lema na sugu.Wana uheshimiwa gani wakati wametiwa hatiani kama wahalifu maarufu bungeni?

Ingefaa hata aseme namsimamisha mhalifu Godbless Lema na mhalifu mwenzie Sugu.HIYO INA SOUND vizuri.Na inawafaa.
 
Ingefaa hata aseme namsimamisha mhalifu Godbless Lema mhalifu mwenzie Sugu.HIYO INA SOUND vizuri.Na inawafaa.
Bora wao ahalifu wa bungeni kuliko wewe kibaka wa mtaani
 
Wazee wa ndiyooooooooo naona mnazidi kuonyesha uwezo wenu. Haya endeleeni mana bado kuna nafasi za U-DC na nyinginezo zimebaki.
 
Mimi ninadhani hiyo idadi ya waliosimamishwa ni ndogo sana. Angewasimamisha UKAWA wote halafu ateue Watu wengine wa kuwatumikia wananchi. Hapo vipiz
 
Mkuu kama kweli ukiacha ushabiki wa kichama au kujaribu kuficha yake mabaya ya serikali huwezi kuacha kumuita mtu kama LEMA mheshimiwa afu ukamuita GOODLUCK MLINGA mheshimiwa, na imani hata nasfi yako inakusuta sema ndio vile tuu unahitaji pesa ya kupost utumbo JF
 
Bunge limeisha haya kahamasisheni wananchi wa majimbo yenu wachangie ujenzi wa sanamu mnazo zitamani.
 
Naona naibu spika ulimi wake umekuwa ukiteleza.Mtu akihukumiwa ni mhalifu hatakiwi kumwita mheshimiwa.Hata anaposoma maazimio ya bunge mfano anamsimamisha Godbless Lema AU sugu.Aseme ninatangaza kuwasimamisha Godbless Lema na sugu.Asiseme ninawasimamisha waheshimiwa lema na sugu.Wana uheshimiwa gani wakati wametiwa hatiani kama wahalifu maarufu bungeni?

Ingefaa hata aseme namsimamisha mhalifu Godbless Lema na mhalifu mwenzie Sugu.HIYO INA SOUND vizuri.Na inawafaa.
Hivi kwani muheshimiwa ni nani anapaswa kuitwa jamani mbona wengine wanaita madam spika/mr spika hii muheshimiwa ni Tanzania tu ndo wameikomalia wanavopenda ubwana.Ndugu wa kuheshimiwa na mtukufu ni Mungu aliye juu tu wengine mnajichumia dhambi tu.
 
Naona naibu spika ulimi wake umekuwa ukiteleza.Mtu akihukumiwa ni mhalifu hatakiwi kumwita mheshimiwa.Hata anaposoma maazimio ya bunge mfano anamsimamisha Godbless Lema AU sugu.Aseme ninatangaza kuwasimamisha Godbless Lema na sugu.Asiseme ninawasimamisha waheshimiwa lema na sugu.Wana uheshimiwa gani wakati wametiwa hatiani kama wahalifu maarufu bungeni?

Ingefaa hata aseme namsimamisha mhalifu Godbless Lema na mhalifu mwenzie Sugu.HIYO INA SOUND vizuri.Na inawafaa.
Daima anayeegemea upande mmoja hawezi kufanya uchambuzi. Sidhani kama umewahi hata kuona chapisho la Kanuni za Kudumu za Bunge au kutafakari maana ya kauli za Naibu Spika kuhusu Wabunge kuheshimu Kiti na kinyume chake kwa mujibu wa mwongozo huo wa vikao vya bunge?
 
Naibu spika atakuwa kiongozi wa kuigwa kwa kuongoza bunge kwa kujiamin bila kuyumbishwa na mtu yoyote, kaza buti dada wasikuonee kama Makinda.
 
Daima anayeegemea upande mmoja hawezi kufanya uchambuzi. Sidhani kama umewahi hata kuona chapisho la Kanuni za Kudumu za Bunge au kutafakari maana ya kauli za Naibu Spika kuhusu Wabunge kuheshimu Kiti na kinyume chake kwa mujibu wa mwongozo huo wa vikao vya bunge?
Ndugu,ili kumwelewa Huyo jamaa unatakiwa ujitoe ufahamu,uwe mchangiaji uchwara ndio mtaenda sambamba
 
Watanzania 75% wanakunywa mataptap kwa mujibu wa tafiti za hivi karibuni
My note : mwanzo nilibisha sasa nimeamini kwa mtu kama huyu
 
Naona naibu spika ulimi wake umekuwa ukiteleza.Mtu akihukumiwa ni mhalifu hatakiwi kumwita mheshimiwa.Hata anaposoma maazimio ya bunge mfano anamsimamisha Godbless Lema AU sugu.Aseme ninatangaza kuwasimamisha Godbless Lema na sugu.Asiseme ninawasimamisha waheshimiwa lema na sugu.Wana uheshimiwa gani wakati wametiwa hatiani kama wahalifu maarufu bungeni?

Ingefaa hata aseme namsimamisha mhalifu Godbless Lema na mhalifu mwenzie Sugu.HIYO INA SOUND vizuri.Na inawafaa.

Kwani kuita Mheshimiwa ni hiari au ipo kikanuni? Mbona yule waziri kivuli alipogoma kumuita mheshimiwa presha ilimpanda? Uwe unaacha uchwara wakati mwingine
 
Mh lema na mh sugu wewe ndo huoni umuhimu wao ila hao watu ni muhimu Sana kwa watu ambao Wana akili timamu na wapiga kura wao
Wapiga kura gani wanamchagua mtu mkora kama Sugu kwenye kazi ya heshima. Sugu ile kesi yake ya kutusi wabunge wenzake kwa kidole sijui imeishaje. Yeye akiongea bungeni anashusha mistari ya bongo fleva.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom