taylor9119
JF-Expert Member
- Nov 4, 2012
- 301
- 489
Nnayo, but bei ya mwisho 400k
What other accessories coming along?
hekimatele huoni ka io iphone 4s kwenye ilo tangazo ni locked? Unaweza chukua ile ya bei rahisi then ukaiunlock, sio mbaya pia, but kua makini tu sababu kuna mitandao kuunlock plus gharama ya simu ni bora ukanunua unlocked tu. Btw yakwangu nshaiuza tayari.
Ila unlocking it bado sio bei kubwa sana na wala sio inshu ya kusumbua kivileeeee
Maximum budget 300k,thanks in advance