Hi
Naomba ushauri nataka kununua water pump ajili ya kilimo .
-eneo ni heka 2
-ainagani ni nzuri
-spea upatikanaji
-utumiaji WA mafuta
Majibu yatoke kwa wakulima au walio isha Fanya kilimo cha umwagiliaj.
Asanteni
Cheti changu cha f6 nataka nikakitumie bustanini