History vp naweza pata nafas au civicsNafasi za (2) za waalimu
1: awe anafundisha Physics- ni sharti awe female
2: awe anfundisha Mathematics- ni sharti awe male
Sifa za mwombaji
Awe na elimu ya Diploma tu.
NB: Kwa walio na elimu zaid ya diploma hawaruhusiw ku-apply
Shule ya seminary (O-level) ipo mkoani Lindi. Kwa watakaopata nafasi watahitajika tarehe 5 January wawe wamereport.
NB: Kuhusu mshahara, ni maelewano kwa waliotayari.
Offer:
Waombaji,watapewa nyumba za kuishi, watahudumiwa kimatibabu vyote bure.
Kwa mawasiliano
0629836915
Hutaki wenye elimu zaidi ya diploma.........kisa nini au wenye diplom a ndo wanyonge wenu ki maslahi?NB: Kwa walio na elimu zaid ya diploma hawaruhusiw ku-apply
Mood futa hii thread, maana umekaa kibaguzi aiseeNafasi za (2) za waalimu
1: awe anafundisha Physics- ni sharti awe female
2: awe anfundisha Mathematics- ni sharti awe male
Sifa za mwombaji
Awe na elimu ya Diploma tu.
NB: Kwa walio na elimu zaid ya diploma hawaruhusiw ku-apply
Shule ya seminary (O-level) ipo mkoani Lindi. Kwa watakaopata nafasi watahitajika tarehe 5 January wawe wamereport.
NB: Kuhusu mshahara, ni maelewano kwa waliotayari.
Offer:
Waombaji,watapewa nyumba za kuishi, watahudumiwa kimatibabu vyote bure.
Kwa mawasiliano
0629836915
Mnatafuta walimu wa kuwalipa 80 kwa mwezi, ndio maana mnalilia diplomaNafasi za (2) za waalimu
1: awe anafundisha Physics- ni sharti awe female
2: awe anfundisha Mathematics- ni sharti awe male
Sifa za mwombaji
Awe na elimu ya Diploma tu.
NB: Kwa walio na elimu zaid ya diploma hawaruhusiw ku-apply
Shule ya seminary (O-level) ipo mkoani Lindi. Kwa watakaopata nafasi watahitajika tarehe 5 January wawe wamereport.
NB: Kuhusu mshahara, ni maelewano kwa waliotayari.
Offer:
Waombaji,watapewa nyumba za kuishi, watahudumiwa kimatibabu vyote bure.
Kwa mawasiliano
0629836915
Mkuu kwani hawapo wadada wanaofundisha masomo hayo? Binafsi nilifundishwa na mwanamke chemistry na physics.....na alikuwa vizuri sanaFemale Physics? Naona mnabana matumizi na kuongeza vilaza tu.
Nadra sana hata wakiwepo wachache wanakua vizuri kama mwalimu wakoMkuu kwani hawapo wadada wanaofundisha masomo hayo? Binafsi nilifundishwa na mwanamke chemistry na physics.....na alikuwa vizuri sana
Hawezi kumpata kwanza, wakuaanda kabisa practicalllllll.... , kusogeza msuli wa electonics, electromagnetic, heat, na nyinginezo atariiiNadra sana hata wakiwepo wachache wanakua vizuri kama mwalimu wako
Walishatengeneza mentality wao wenyewe masomo ya sayansi magumu/phys,math na chemistry hivyo ajiangalie kupata bora mwalimu.
Kabisa mkuu , kale kabinti (Lucylight Marya) kaliongoza kitaifa kidato cha nne 2010 licha ya kupiga 'A' zote ila phys kaligonga 'B' na kalikiri mbele ya waandishi wa habari kuwa moto wa physics ni konk ..kumbuka hiyo ni O-level je vipi Advance wazee wa Mechanics na maprojectile range yake [emoji23][emoji23]Hawezi kumpata kwanza, wakuaanda kabisa practicalllllll.... , kusogeza msuli wa electonics, electromagnetic, heat, na nyinginezo atariii
Physics n baba lao mtot wa kike hawezi kabisa ...n mchuzi wa mbwa wanakunywa wachache sanaaa