Uko Mkoa gani MkuHabari zenu, naomba kwa mwenye utaalamu wa kutengeneza vifungashio vya ufuta tuwasiliane tufanye biashara.
Namba yangu ya simu ni 0752719412 napatikana pia WhatsApp kwa namba hiyo, mwenye utaalamu jamani tusaidiane
Sent using Jamii Forums mobile app

nataka vya transparent, ambavyo ni rafiki kwa mazingiraUnataka vifungashio vya aina gani
invest what you are willing to loose
Vyakubeba ujazo gani ?
Hapana wick. Tulivyonavyo kwa sasa ni hivyo tulivyoandika tu. Sisi hatutengenezi, tunaagiza china.Nikihitaji vifungashio vya 5kg, 10kg, 20kg na 50kg unaweza tengeneza!?
Nahitaji vya 1kg package 40 ntavipatajeHapana wick. Tulivyonavyo kwa sasa ni hivyo tulivyoandika tu. Sisi hatutengenezi, tunaagiza china.