Wadau nahitaji vifungashio vya vimiminika(chupa za plastic) za kwamfano maji,juice, maziwa n.k.Pamoja mashine ya ku-seal mifuniko yake.Tafadhali naomba mwongozo wadau