Nahitaji vifaa vya maabara Physics na Chemistry

MENISON

JF-Expert Member
Joined
Apr 26, 2013
Posts
726
Reaction score
623
Wapi ntapata Vifaa vya maabara kwa bei nafuu kwa Dar?
Wakuu ni wapi naweza kupata chemicals za maabara ya Secondary physics na Chemistry kwa bei nzuri hasa maduka ya wahindi hapa Dar?
Shule ipo Kibaha Mkoa wa Pwani.
Kwa mawasiliano 0759 146483.
Au ni pm
 
Nyuzi kama hizi watu hawachangii kwanini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…