Munkari..mimi nimeshuhudia watu wengi sana wa aina hii..unajua wanaume wengi wakiwa na girlfriend kutimia kinga ni big no,sasa mtu akipata mimba anamwambia atoe tena bila huruma..na sikufichi wasichana wengi akikaa na mtu 3yrs anajua ndoa tayari..sasa kama mtu hana muda na wewe anaonekana mbona tatizo watoto wa kike tunajipa moyo atabadirika tu.nadhani ndio kilichomtokea huyu dada..
yani mi namwonea huruma coz anaharibu kizazi chake mwisho wa cku anaachwa soremba na huyohuyo! Mapenzi mengne yakitumwa zaid!
Kumbe anakushauri utoe! Sasa huo ushauri huwa unaupokeaje, na umeshatoa?
Huyu bidada hajibu kitu hapa! Mkuu kama unaudambwi-udambwi umwage tu!!
Sote tumetenda dhambi wakati flani ktk maisha yetu, Mungu ndio mwenye kujua cha mhimu ni kutubu na sio kuhukumiana.Subiri adhabu yako kwa mw.mungu ya kuuwa viumbe vicvyo na hatia
Hebu nisaidie kushangaa... Kuna mijike punguani kabisa.... Unatiwa mimba halafu unaambiwao ukatoe nawe unakubali.... BULLSHIT...6years? boyfriend???
Tatizo lako hujui tofauti kati ya kosa na hukumu.... Kwa mfano, ukiambiwa wewe ni mwizi, hapo hujahukumiwa ila umetajiwa kosa lako, ila ukiambiwa kwa sababu ya wizi wako utaikwenda jela miaka kadhaa, sasa hapo hiyo ndo hukumu.Sote tumetenda dhambi wakati flani ktk maisha yetu, Mungu ndio mwenye kujua cha mhimu ni kutubu na sio kuhukumiana.
asanten kwa ushauri wenu,4sure ilifikia ha2a nilgoma kutoa akaniambia anaenda shle 2dgree then nani atam2nza mtt?nilimjb Mungu ajua yani ndani hapakutosha ndani ya miezi 6 hakuna maelewano Mungu alnisaidia nikajfungua salama but mpaka ss hachangii chochote na kila niombapo msaada hujibu hali mbaya.Je kuna haja ya kuendelea kumghasi?
Kwa hiyo kusema asubiri adhabu ni kumwelekeza dhambi yake?Tatizo lako hujui tofauti kati ya kosa na hukumu.... Kwa mfano, ukiambiwa wewe ni mwizi, hapo hujahukumiwa ila umetajiwa kosa lako, ila ukiambiwa kwa sababu ya wizi wako utaikwenda jela miaka kadhaa, sasa hapo hiyo ndo hukumu.
Na hili kosa hutendwa na wengi sana. Huyo mdada kuambiwa kutoa mimba ni dhambi hapo bado hajahukumiwa na yeyote ila katajiwa kosa lake... Hukumu atapewa na MUNGU, na Mungu ndo anajuwa hukmu ya kutoa mimba ni nini.
Achana na Hilo bomu, jitahidi utunze mtoto wako. Ila usisahau kutubu kwa yale uliyofanya hapo mwanzo.asanten kwa ushauri wenu,4sure ilifikia ha2a nilgoma kutoa akaniambia anaenda shle 2dgree then nani atam2nza mtt?nilimjb Mungu ajua yani ndani hapakutosha ndani ya miezi 6 hakuna maelewano Mungu alnisaidia nikajfungua salama but mpaka ss hachangii chochote na kila niombapo msaada hujibu hali mbaya.Je kuna haja ya kuendelea kumghasi?
Nina mpenzi wangu ambaye nimeanza naye mahsiano takribani miaka sita lengo ni kuwa na familia yani awe baba watoto,lkn cha kushangaza kila inapotokea kupata ujauzito ananishauri nitoe je ndoa ipo jamani?