Nahitaji Toyota Verrosa

hp4510

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2012
Posts
8,981
Reaction score
9,928
wakuu mambo vipi? naitaji toyota verrosa ambayo sio D4 na kilomita zake haizidi laki moja... mwenye nayo ani pm au aweke picha na maelezo yake hapa
 
nauza hii
 
mwenye charger ya pin ndogo tafadhali!
 
Reactions: y-n
wakuu mambo vipi? naitaji toyota verrosa ambayo sio D4 na kilomita zake haizidi laki moja... mwenye nayo ani pm au aweke picha na maelezo yake hapa

kaka naweza kukupatia ila tuongee kwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…