Queen matty Member Joined May 14, 2016 Posts 84 Reaction score 89 May 9, 2021 #1 Habari wana jamvi, Nina shida na tofali za kuchoma na molamu niko Dar, Kigamboni. Naomba kwa anayejua mahali napoweza kuzipata aniambie....na bei zake.
Habari wana jamvi, Nina shida na tofali za kuchoma na molamu niko Dar, Kigamboni. Naomba kwa anayejua mahali napoweza kuzipata aniambie....na bei zake.
ndege JOHN JF-Expert Member Joined Aug 5, 2015 Posts 24,812 Reaction score 60,674 May 9, 2021 #2 Ni moramu na sio molamu Asante
Ngolewise New Member Joined May 28, 2021 Posts 2 Reaction score 2 Jun 10, 2021 #3 Queen matty said: Habari wana jamvi, Nina shida na tofali za kuchoma na molamu niko Dar kigamboni.naomba kwa anayejua mahali napoweza kuzipata aniambie....na bei zake. Click to expand... Upo sehemu gani wewe
Queen matty said: Habari wana jamvi, Nina shida na tofali za kuchoma na molamu niko Dar kigamboni.naomba kwa anayejua mahali napoweza kuzipata aniambie....na bei zake. Click to expand... Upo sehemu gani wewe