Vits waweza pata ila ist na spacial ngumu.
Nimetaafuta ist kwa mil.6 nalengeshwa zimechoka tu.
Sent using mazonge yamezidi
Ucjali.. Mie ntakuuzia Rav 4 new model kwa bei hiyo.. Subiri mpaka wk ijayo niitoe bandarini.
Mkuu naona bajeti yako bado haijatosha vizuri kwa hayo magari.Habari kama habari inavyojieleza ofa yangu milioni tano mpaka 5.5 iwe imenyooka. Karibuni.
Lengo ni usafiri wa hapa na pale mjini matumizi binafsi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu naona bajeti yako bado haijatosha vizuri kwa hayo magari.
Naomba nikupe gari mpya kwa bei rahisi.
Ni toyota Avensis namba DRP.
Ni-pm au nipigie 0719972458 nikutumie picha na specs
Note: Gari ni Manual
Asante Raum nzuri sana ila kwa magari hayo niliyotaja.njoo nkuuzie raum new model haijawahi kuguswa rangi wala engene full ac nataka 5.6m fixed picha zmepigwa gari ikiwa haijaoshwa
0623953036View attachment 1325315View attachment 1325316View attachment 1325318
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu naona bajeti yako bado haijatosha vizuri kwa hayo magari.
Naomba nikupe gari mpya kwa bei rahisi.
Ni toyota Avensis namba DRP.
Ni-pm au nipigie 0719972458 nikutumie picha na specs
Note: Gari ni Manual
Kwa budget hiyo nakushauri nunua bodaboda tu chenji inabaki unakunywa soda kwa mangi wakati unafanya mizunguko ya hapa na pale mjini.Habari kama habari inavyojieleza ofa yangu milioni tano mpaka 5.5 iwe imenyooka. Karibuni.
Lengo ni usafiri wa hapa na pale mjini matumizi binafsi.
Sent using Jamii Forums mobile app