Kutegemea unatumia mtandao gani unaweza ukaonekana upo nch i tofauti, hii ni kutokana na provider wako anaroute vipi data.
So unaweza ukawa unatumia Voda ila public IP yako ikaonekana ipo UK.
So nakushauri ujaribu kukunect na sim card kama ya mwenzako anayefanikiwa.