Nahitaji smartphone bei yangu ni 100,000/=

Nahitaji smartphone bei yangu ni 100,000/=

mdalla 1

Senior Member
Joined
Aug 11, 2014
Posts
120
Reaction score
20
Ndugu tusaidiane kwa hili. Nahitaji haraka smartphone yoyote iliyo katika hali nzuri kwa being tajwa Hapo juu.
 
Ndugu tusaidiane kwa hili. Nahitaji haraka smartphone yoyote iliyo katika hali nzuri kwa being tajwa Hapo juu.
Ipo huawei y330 ni dual sim,bado ipo katika hali nzuri,inatumia line zote
 
Kwa bajeti hiyohiyo kama uko mbeya na una simu unaiuza tuwasiliane!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom