ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,758
- 9,592
mkuu hiyo P5 ikiwa dukani inapatikana kwa shs ngapi?
vp na huawei bird bei yake?
best unataka simu kwani ile ya sumsang ulipeleka wapi?
Natumia laptop kupiga simu, texting na aina zote za mawasiliano.. thats why sasa nataka niingie kwenye ulimwengu wa smartphone..
kwani wewe ulishapata hii ya laki moja uliyokuwa unatafuta?
hahahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa uwiiiiiii hebu tuachane na hayo best
uwe na siku njema
Mndengereko anajua hilo?amekwenda kwenye kwata jeshini si unajua tena mambo ya jkt hayo yasharudi tena
mm nakumbukaga nilipelekwa simanjioro miaka ile tunapata uhuru
m3 NICHRK
umeniita?
Ninahitaji aina ya
1 LG SMARTPHONE
2 HTC MYTOUCH 4G SLIDE HD WIFI GPS 8MP 4GB ANDROID
3. IPHONE
ISIWE USED BALI IWE BRAND NEW JAMANI NINA SHIDA SANA NAYO NAWEZA NUNUA WAPI
AU NIITAIPATAJE MMOJAWAP O KATI YA HIZO 3 NILIZOTAJA HAPO JUU