Lady niece
JF-Expert Member
- Feb 18, 2014
- 953
- 414
Pesa ya karanga unaitaji smartphone,tena unataja na sifa kabisa eti camera 8MP,memory 4gb
tena brand new lol.wakati hata tecno p3 hupati
amesema hataki used!
Pesa ya karanga unaitaji smartphone,tena unataja na sifa kabisa eti camera 8MP,memory 4gb
tena brand new lol.wakati hata tecno p3 hupati
Nitakupa bure, nitafute!Ninahitaji aina ya
1 LG SMARTPHONE
2 HTC MYTOUCH 4G SLIDE HD WIFI GPS 8MP 4GB ANDROID
3. IPHONE
mkuu hiyo P5 ikiwa dukani inapatikana kwa shs ngapi?Haya njoo uchukue TECNO P3 mpyaaaaaa ( imetumika kwa miezi miwili tu. Ila kwenye hiyo laki yako inabidi uonheze 10,000
google specifications zake then nitwangie hapa 0715553166 ( nipo Dar, Mikocheni )