A abcde Member Joined Jan 18, 2012 Posts 38 Reaction score 5 Jul 1, 2013 #1 Habari wadau! Nahitaji shamba kuanzia eka 150-500 Arusha, Manyara au Mbeya. Asante
King Kong III JF-Expert Member Joined Oct 15, 2010 Posts 60,419 Reaction score 88,756 Jul 1, 2013 #2 Nina heka 200 tukuyu kila heka 40elfu kama upo fresh ni pm....
Malick M. Malick JF-Expert Member Joined Apr 2, 2013 Posts 658 Reaction score 314 Jul 1, 2013 #3 Ukibadilisha maeneo niambie,mfano Kisarawe na mikoa ya kusini.utani PM "VV"
Bujibuji Simba Nyamaume JF-Expert Member Joined Feb 4, 2009 Posts 76,579 Reaction score 161,433 Jul 1, 2013 #4 Mki nauza misukule, kila msukule buku jero, itakusaidia sana kwenye kilimo
Swiper JF-Expert Member Joined Apr 5, 2013 Posts 444 Reaction score 168 Jul 1, 2013 #5 Bujibuji said: Mki nauza misukule, kila msukule buku jero, itakusaidia sana kwenye kilimo Click to expand... Mkuu bujibuji, leo umeamua nini? au ndo yale mambo ya ..........kijani na roba, unavunja mbavu, halafu ni hiyo avator unaitendea haki maana nimjuavyo huyo jamaa kwenye comedy
Bujibuji said: Mki nauza misukule, kila msukule buku jero, itakusaidia sana kwenye kilimo Click to expand... Mkuu bujibuji, leo umeamua nini? au ndo yale mambo ya ..........kijani na roba, unavunja mbavu, halafu ni hiyo avator unaitendea haki maana nimjuavyo huyo jamaa kwenye comedy
A abcde Member Joined Jan 18, 2012 Posts 38 Reaction score 5 Jul 1, 2013 Thread starter #6 King Kong III said: Nina heka 200 tukuyu kila heka 40elfu kama upo fresh ni pm.... Click to expand... Nimeku pm
King Kong III said: Nina heka 200 tukuyu kila heka 40elfu kama upo fresh ni pm.... Click to expand... Nimeku pm
A abcde Member Joined Jan 18, 2012 Posts 38 Reaction score 5 Jul 1, 2013 Thread starter #7 MALICK MUSSA said: Ukibadilisha maeneo niambie,mfano Kisarawe na mikoa ya kusini.utani PM "VV" Click to expand... Nahitaji pia mikoa mingine eka kuanzia 200-500 kama nitapata kwa bei nafuu (Mashamba mawili ya eka 200-500)
MALICK MUSSA said: Ukibadilisha maeneo niambie,mfano Kisarawe na mikoa ya kusini.utani PM "VV" Click to expand... Nahitaji pia mikoa mingine eka kuanzia 200-500 kama nitapata kwa bei nafuu (Mashamba mawili ya eka 200-500)
M Marnah JF-Expert Member Joined May 3, 2013 Posts 1,124 Reaction score 303 Jul 1, 2013 #8 Ukitaka mikoa mingine ya rufiji kama wilaya ya Mkuranga just ni PM ninazo eka zaidi ya 500
A abcde Member Joined Jan 18, 2012 Posts 38 Reaction score 5 Jul 1, 2013 Thread starter #9 Marnah said: Ukitaka mikoa mingine ya rufiji kama wilaya ya Mkuranga just ni PM ninazo eka zaidi ya 500 Click to expand... Unauza shilingi ngapi? kuna vyanzo vya maji? Nitumie na picha.
Marnah said: Ukitaka mikoa mingine ya rufiji kama wilaya ya Mkuranga just ni PM ninazo eka zaidi ya 500 Click to expand... Unauza shilingi ngapi? kuna vyanzo vya maji? Nitumie na picha.
Iyokopokomayoko JF-Expert Member Joined Sep 15, 2011 Posts 1,785 Reaction score 443 Jul 2, 2013 #10 Nina ekari 100 kijiji cha kidomole bagamoyo karibu na itakapojengwa bandari mpya kubwa kuliko zote bongo. Laki 5 kwa kila ekari. Nipigie au nitumie text katika 0769142586. Pia ninayo mengine kama ekari 1000 hivi maeneo ya msanga mbele kidogo ya chanika milioni 1 na laki 2 kwa ekari.
Nina ekari 100 kijiji cha kidomole bagamoyo karibu na itakapojengwa bandari mpya kubwa kuliko zote bongo. Laki 5 kwa kila ekari. Nipigie au nitumie text katika 0769142586. Pia ninayo mengine kama ekari 1000 hivi maeneo ya msanga mbele kidogo ya chanika milioni 1 na laki 2 kwa ekari.