Nahitaji Samsung galaxy s2

Nahitaji Samsung galaxy s2

Mr. madevu

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2013
Posts
432
Reaction score
75
Habar za saa hiz wanajamvi. Nahitaji simu tajwa hapo juu na iwe kwenye hali nzuri.
 
Habar za saa hiz wanajamvi. Nahitaji simu tajwa hapo juu na iwe kwenye hali nzuri.

s2 zipo kwa tshs 270 thousand...mpya na sio used na wala sio version 4.0.4 ice cream sandwhich znazotengenezwa China under license na pia na guarantee ya mwezi na kupa...
 
s2 zipo kwa tshs 270 thousand...mpya na sio used na wala sio version 4.0.4 ice cream sandwhich znazotengenezwa China under license na pia na guarantee ya mwezi na kupa...

Unapatikana wapi mkuu
 
Mjomba njoo na hiyo hela nipo magomeni mikumi 0718919725 au 0777650286
 
Ninayo nyeupe used ila ipo katika hali nzuri nauza 250 nakupa na extra bettry.
 
Mkuuu m ninayo nzuri sana bei 200..bila kupungua niende kumalizia ada ya chuo..nitafte kwa 0719098138
 
me nna s2 iko poa sana...mwenye s3 naweza mpa hii yangu then namuongeza 50, 000 niipate s3 0652112026
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom