MzaramoTz JF-Expert Member Joined Dec 13, 2017 Posts 1,873 Reaction score 3,094 Aug 15, 2019 #1 Heshima kwenu wakuu. Naulizia simu tajwa hapo juu Samsung Galaxy Note 8 naomba kujua bei yake kama ni mpya au used it's okay, ila ikiwa mpya itapendeza sana location nipo Dar wadau. Natanguliza shukran zangu kwenu. Ahsanteni.
Heshima kwenu wakuu. Naulizia simu tajwa hapo juu Samsung Galaxy Note 8 naomba kujua bei yake kama ni mpya au used it's okay, ila ikiwa mpya itapendeza sana location nipo Dar wadau. Natanguliza shukran zangu kwenu. Ahsanteni.