Nahitaji rafiki wa kike

Mkomawatu

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2012
Posts
277
Reaction score
135
Habari zenu Wanajamvi? Ni matumaini yangu nyote wazima wa afya. Mimi ni Kijana wa kiume umri miaka 29. Ni muajiriwa Serikalini katika idara fulani. Nahitaji rafiki wa kike mchamungu aliyeshika dini ya kiislam, umri miaka 21 hadi 25, elimu kidato cha sita na kuendelea.Mwenye Vigezo hivyo naomba ani PM.Makazi yangu ni Dar es salaam Inshaallah Nawatakia siku njema.
 
Mkuu toka uanze shule hadi unamaliza chuo unaanza kazi bado hujaona anayekufaa tu?, haya na hapo Mjin + mtaan unakoishi + kazin hujaona tu maana hizi thread zimekuwa nyingi siku hiz but anyway subiri watakuja PM
 
Mbona hapo hapo kazin kwenu kuna marafiki kibao?
 
Rafiki wa kike!!??
Ina maana wewe tangu usome hadi ulipo
Darasani ulikuwa unasoma peke yako au!!??
 
Duh jamaa kachoka kunyetoka....sasa anaitaji mwenza .....so wadada walo empty space...,msikilizeni jamaa....!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…