nina pumba nyingi lakini sijakuelewa,unamaanisha unataka gunia moja la pumba kwa wiki au!!!kama ndio unamaanisha hivyo basi hukupaswa kuandika uhitaji mkubwa maana kama ni gunia moja kwa wiki naamini hukohuko arusha ungelitafuta vizuri ungeweza kupata!!nilidhani unahitaji magunia 50 pengine na kuendelea kwa wiki ningekuwa attracted