Nahitaji PS2 Kwa Haraka

Castr

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2014
Posts
37,199
Reaction score
74,008
Heshima yenu wadau.

Nina uhitaji wa haraka wa PlayStation 2.

Iwe used au mwenye duka ukinionea imani itapendeza pia.

Iwe fat.

Iwe na pads zaidi ya moja.

Iwe na AV Cable na Power Cable.

Iwe na Flash na Memory Card.

Iwe nzima.

Muonekano siyo swala kubwa kwangu ila isiwe imevunjika au kupasuka.

Nipo Dar.

Ofa yangu ni 80,000/=

Katika kila nilichoorodhesha kuna exception.

Dukani zinauzwa 150,000/= sina kiasi hicho kwa sasa.

Natanguliza shukrani.

Update:
IMEPATIKANA.
 
Jamani kama nyumbani kwako kuna kitu kama hichi..



Ndicho ninachkiulizia.
 
Hiyo bei iko chin sana, kwa bei hiyo utapata mashine bila flash&pads
 
Sipo dar lkn naweza kuwasiliana na ndugu yangu mmoja kama anaweza kwenda kuichukua home maana haitumiki ipo kabatini
Itakua vyema chief. Nikukumbushe saa ngapi?
 
Nikumbushe baadae kesho nimwambie akaichukue muonane..ww upo wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…