Nahitaji pikipiki used

kiranja jona

Member
Joined
Jun 5, 2014
Posts
16
Reaction score
2
Mimi ni mkulima hapa Dodoma sehem ninahitaji pikipik ya kuhimili milima na makorongo makubwa yenye mchanga kwa ajili y kutembelea mashamba yangu.
napendelea aina zufuatazo za pikpik
baja 250, kawasaki250, ama yamaha td
je hizi piki pik nazipataje za mtumba na zina range kwa bei gan
na kuna kampuni inayo agiza kutka nje
naahukuru kwa mchango wnu
 
ungepata na zile za matairi matatu kwaajili ya kubebea mazao ya shamba ingekuwa poa zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…