Nahitaji pikipiki kubwa!

Nahitaji pikipiki kubwa!

Olmost

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2014
Posts
340
Reaction score
448
jaman kwa mwenye pkpk kubwa(mfano wa xl baja) aina yoyote ya kchina anaiuza tuwacliane ninunue, ofa 1M.
 
ngojaaa nkutumie moto wangu wewe mwenyewe unipe offer siongei bei kwanza, bei tutaongea badaye
 
naona picha inazingua ku upload hapa kama una whatsap ni pm nkutumie, farasi wangu honda cc 750....ila syo kwa bei yako hiyo ya 1mln
 
iyo ya kwako bei yake kiac gan!
 
iyo ya kwako bei yake kiac gan!

nipe 3.5mln nilishaenda nayo dar to arusha na dodoma kutoka dar, mpaka sasa nimeipaki tu ni mashine nzuri sana nlinunuaga zenji....
 
Nina Honda Xxr 500 sports naiuza 4 Milion ila kuipanda kama ni mfupi lazima stuli iwepo, ilishaniangusha mara mbili siitaki kabisaa, ina gia 7
 
wezee hata mie nahitaji yakawaidatu ila iwe Tabora.
 
jaman kwa mwenye pkpk kubwa(mfano wa xl baja) aina yoyote ya kchina anaiuza tuwacliane ninunue, ofa 1M.
Mkuu mi ninayo XLR 250 siitumiagi ni na muda sasa kama utahitaji tunaweza kuongea ila lazima itahitaji matengenezo kiasi mm nipo Dar ila kwa sasa nipo nje ya nchi mpaka mwezi ujao nitakuwa Tz kama utakuwa hujaipata tuwasiliane kwa no 0756386179 bei tutaelewana tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom