nahitaji boxer bm 150 iwe imenunuliwa mwezi wa 9/10 i mean imetumika kwa chini ya miezi mitatu
iwe na hali nzuri kimwonekano
iwe na documents halal ikiwemo risiti ilizonunuliwa
iwe na helmet yake
budget 1.7
kama unayo na unauza nitext / nipigie hapa
0621068486