Naitaji pickup single cabin ya mojawapo kati ya hizi zifuatazo
1. Nissan hardbody,
2. Toyota hilux
3. Toyota Landcruiser
Sifa.
- iwe kwenye hali nzuri
- iwe na four wheels drive(4wd)
Ofa.
- bei itakuwa kuanzia tsh 1,500,000/= mpaka tsh 2,500,000/= kwa mwezi.
- bei hiyo hapo juu itategemea na hali ya gari yenyewe.
*Muda wa kukodi.*
-itachukua muda wa mwezi mmoja(1) hadi miezi mitatu(3) au zaidi kulingana na mahitaji.
Contacts.
0765 184 480 au 0685 048 467
Aksanten.