nyukiwamashineni
Member
- Aug 18, 2018
- 13
- 4
Nakuonea huruma mkuu
Njoo Bunju nikupe Prado bure kabisa maana halina kazi huwa napelekea mbuzi malishoni na kubebea nyasi
Passo milioni 3 ni kawaidaMilioni 3?, labda ije bila injini...panda panda kidogo.
Mkuu ndio nlionayo nisaidie kama unayo.Passo milioni 3 ni kawaida
Blogger & Trainer
Mkuu kama yako huuzi si lazima uchangie mada mengne yanaweza kukupita..Milioni 3?, labda ije bila injini...panda panda kidogo.
Mi sina, ila naamini utapata, jitahidi kuapdate hii thread ili ionekane zaidi,Mkuu ndio nlionayo nisaidie kama unayo.
Nmejaribu kujieleza hali yangu ili nami niweze kuepukana na adha ya usafir asubuhi ukizingatia huku nlipo ni mbali sana mkuu kuelekea kwenye mihangaiko yangu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa mkuu nitafanya hiyo.Mi sina, ila naamini utapata, jitahidi kuapdate hii thread ili ionekane zaidi,
Blogger & Trainer
Asante mkuu kwa kuntia moyo.kuna wajuaji humu sana.Pesa 3m unapata passo mkuu vzr kabisa Kaka jaribu kusambaza huu uzii unapata kunamama mmoja kanunua allex juzi 4.5m na n nzur utapata achana na hao wajuaj wa kuchangia ujinga
Sent using Jamii Forums mobile app
Kunamshikaji wangu alinunua staleti 600000(laki sita) ilikuwa na marekebisho ya Kaka 1.5m
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ndio nlionayo nisaidie kama unayo.
Nmejaribu kujieleza hali yangu ili nami niweze kuepukana na adha ya usafir asubuhi ukizingatia huku nlipo ni mbali sana mkuu kuelekea kwenye mihangaiko yangu.
Sent using Jamii Forums mobile app