Ntajitahidi kukuulizia kwa hayo maeneo uliyosema bcoz am very familiar. Pia kama ukinisaidia ajira kwenye hiyo ofisi ntashukuru sana. nina degree ya business administration majoring in marketing. Thanks
Hata wewe ukipita utaona kuna mjengo yako along ali Hasan mwinyi road wameandika office to let....na fahamu kuwa garama kupangisha wana charge ni per sqmt....