MBUGHUNI KIDAISHO
Member
- Sep 9, 2019
- 47
- 22
Nyumba iwe nzur self-containe , vyumba v3 jiko, choo, stoo na iwe na mazingra mazur.
Bei laki moja kwa mwezi.
Bei laki moja kwa mwezi.
mkuu chanika ipo mkoa wa chalinze nchini burundi karibu na mbagala ukipita kigogo njia ya mtwara
We mpare ach ubahili jenga nyumba yako
Chanika mbona mbali sana MzeeNyumba iwe nzur self-containe , vyumba v3 jiko, choo, stoo na iwe na mazingra mazur.
Bei laki moja kwa mwezi.
🙄🙄🙄🙄🙄Nyumba iwe nzur self-containe , vyumba v3 jiko, choo, stoo na iwe na mazingra mazur.
Bei laki moja kwa mwezi.
Nina nyumba ipo chanika zoo, nyumba ipo uzunguni mazingira ni kama osterbay.bei 150000