Mwana Mnyonge
JF-Expert Member
- Mar 3, 2011
- 518
- 452
Budget yako sh ngapi mkuu nyumba zipo nyingi tuHabari ndugu zangu,
Nahitaji Nyumba ya kununua maeneo ya Mbagala, Kitunda, madale gogolamboto,pugu na maeneo mengine yasiwe mbali na mjini.
Asanteni
Njoo nkuzie nyumba iko kivile mimi ni mhusika n'a siyo dalali kama Uko serious piga simu 0715591141 dar es salaamHabari ndugu zangu,
Nahitaji Nyumba ya kununua maeneo ya Mbagala, Kitunda, madale gogolamboto,pugu na maeneo mengine yasiwe mbali na mjini.
Asanteni
Kuna nyumba kitunda nzuri sana ni PMHabari ndugu zangu,
Nahitaji Nyumba ya kununua maeneo ya Mbagala, Kitunda, madale gogolamboto,pugu na maeneo mengine yasiwe mbali na mjini.
Asanteni
Asante Kaka but Mimi Nimezaliwa dar na nimekulia darWewe unaonyesha hujawahi kufika Dar.
GONGO LA MBOTO au Mbagala ndiyo maeneo miongoni mwa unayotaka,halafu unasema usiwe mbali na mjini
Fafanua huo umbali maanake hayo maeneo uliyotaja kwangu mimi ni mbali sana na mjini.Habari ndugu zangu,
Nahitaji Nyumba ya kununua maeneo ya Mbagala, Kitunda, madale gogolamboto,pugu na maeneo mengine yasiwe mbali na mjini.
Asanteni
Asante Kaka hayo maeneo kwangu ni Karibu na mjiniFafanua huo umbali maanake hayo maeneo uliyotaja kwangu mimi ni mbali sana na mjini.
Kwa maana hii hamna sehemu yoyote kwako ni mbali na mjini. Sema tu natafuta nyumba popote Dar, kingine weka budget yako maanake kuna nyumba za 5m-5b tzs.Asante Kaka hayo maeneo kwangu ni Karibu na mjini
Asante Sana ndugu,Kwa maana hii hamna sehemu yoyote kwako ni mbali na mjini. Sema tu natafuta nyumba popote Dar, kingine weka budget yako maanake kuna nyumba za 5m-5b tzs.
Nina nyumba 140m ipo Kibada.Asante Sana ndugu,
Unazo Nyumba za Bei gani ,zipo maeneo gani, zipoje ina fence, umeme na maji
Mkuu ziko Gongolamboto kuanzia 50 mpaka 80 Milion mtaani sio mbali na barabara hata robo kilomiter hazifiki ukitaka barabarani kuanzia 200 Ml mpaka 500 ml nitafute km muhitaji 0621059449Habari ndugu zangu,
Nahitaji Nyumba ya kununua maeneo ya Mbagala, Kitunda, madale gogolamboto,pugu na maeneo mengine yasiwe mbali na mjini.
Asanteni