Tulishawahi kumpa.Noah kwa mkataba mdau mmoja,
Tulifata taratibu zote mpaka kwa Mwana sheria,
Mkataba haukukamilika kua alishindwa mkataba na akairudisha Gari iko ovyo Sana
Kisha akalala mbele,
Tulibakiwa na copy za mikataba tu zenye muhuri wa mwanasheria,
Ni hivyo tu mpaka leo
Ila kungekuwa na kitu cha dhamana, angekuwa serios kidogo,
Maana aliona hana cha kupoteza kwa upande wake