Nahitaji ndoo ndogo za lita 10.

yello masai

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2016
Posts
3,922
Reaction score
4,181
Mwenye ndoo ndogo za lita 10 zile zilizoisha mafuta anifahamishe nimpe mawasiliano tufanye biashara.

Nahitaji nyingi kwa bei ya jumla, bei maelewano.

Location ni Dar.
 
Hii bidhaa haipo au tangazo halionekani?
 
Mwenye ndoo ndogo za lita 10 zile zilizoisha mafuta anifahamishe nimpe mawasiliano tufanye biashara.

Nahitaji nyingi kwa bei ya jumla, bei maelewano.

Location ni Dar.
mkuu unahitaji ngapi na umejipanga sh ngapi kwa kila ndooo ninazo
 
Una ngapi mkuu. Nahitaji nyingi tu kuanzia 20 kuendelea. Na ni biashara endelevu kwa maana kuwa utakuwa unaniuzia mara kwa mara. Ofa yangu ni 1,800, nakusikiliza na wewe maana biashara maelewano.
 
Mkuu unahitaji ndoo ngapi
 
Una ngapi mkuu. Nahitaji nyingi tu kuanzia 20 kuendelea. Na ni biashara endelevu kwa maana kuwa utakuwa unaniuzia mara kwa mara. Ofa yangu ni 1,800, nakusikiliza na wewe maana biashara maelewano.
toa ofa yako ...ndoo zipo nyingi tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…