Anaweza kukuoa wa kwanza kisha akaoa wa pili na watatu vile vileAssalaam Alaykum!
Mm ni mwanamke wa Kiislam umri
(30),Sijawahi Kuolewa na wala sina mtoto
Nahitaji Mume Mwenye Sifa hizi:-
Awe Muislam,
Awe yuko ndani ya Ndoa tayari,
Umri kuanzia 35-50,
Awe anajiweza mwenye kipato,
Nahitaji Mume sharti awe ameshaoa nahitaji (UKEWENZA) niwe mke wa pili, watatu na wa nne kikubwa awe Muislam,Mwenye hofu ya ALLAH SWT na-Muadilifu,
N.B NAOMBA KUTILIA UZITO lazma awe ameshaoa kwasababu ya nature ya kazi yangu Safari za hapa na pale ivyo akiwa hajaoa ntamueka kwenye hatari kubwa ya UCHAFU-ZINAA kwa kuogopa dhima hiyo mbele ya ALLAH SWT ntakapokua safarini najua atakua salama katika zamu za WAKEWENZA wenzangu,
Alie serious na Mwenye sifa hizo tafadhali naomba aje (in-box),
Wabillah Tawfiq!
Anaweza kukuoa wa kwanza kisha akaoa wa pili na watatu vile vile
Sema tu huenda unagopa maumivu ya kuletewa mwenzio ndani inauma mnoo
Yani labda awe ndani ya Imaan sana tena sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Mungu saidia babe wangu asiuone huu uzi aisee, mambo ya uke wenza tena duh, dada hizo safari ndyo zinakufanya usiwe na wivu hata kidogo,vipi na wewe ukiwa huko safarini sasa utakua salama pia?,ila kila rakheri.
Sio kila Safari inayohitaji kusafiri pamoja kama ni safari za kiofisi je? Ifike mahali muwe mnaheshimu thread za watunjoo nikuoe kama shda n hzo safari bas tutakua tunasafiri wote mana mm mwnyw n mtu wa safari...[emoji5][emoji4]
Sent using Jamii Forums mobile app
Usizungumze usilolijua mm mbona ni mke wa Kwanza na nimekaribisha wenzangu wanne? Ni kiasi cha kumshiba MUUMBA tu na kua na Subra katika ndoa na Mume akiwa muadilifu wala hakuna shida katika ukewenzaAnaweza kukuoa wa kwanza kisha akaoa wa pili na watatu vile vile
Sema tu huenda unagopa maumivu ya kuletewa mwenzio ndani inauma mnoo
Yani labda awe ndani ya Imaan sana tena sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Mda mwingine ni busara kuficha ujinga wako, kweli ata wapumbavu nao wanazeeka
Sijauona babe, ngoja nifumbe macho niendelee na safariMungu saidia babe wangu asiuone huu uzi aisee, mambo ya uke wenza tena duh, dada hizo safari ndyo zinakufanya usiwe na wivu hata kidogo,vipi na wewe ukiwa huko safarini sasa utakua salama pia?,ila kila rakheri.
Masha'Allah! Mpo wapi kama nyie!Usiwe m'binafsi hutaki ukewenza Wanawake wengi huko mtaan hawana Ndoa, na wanahitaji stara, kuliko Mume akazini huko nje na kuongeza list ya vimada si bora aoe tu apate thawabu na astiri Wanawake wenzetu,
Anaonekana ana hofu ya MUUMBA na anajilinda ndio maana ameogopa asije mtia dhima huyo atakaekua mume wake ndio maana ametaka hivi,nimemuelewa sana huyu dada
Mm ni mke wa kwanza Bahati mbaya Mume wangu ana wake wanne tayari ila MWENYEZI MUNGU atakupatia Mume mwema dear
Allah akufanyie wepesi mja wake wallah...Usiwe m'binafsi hutaki ukewenza Wanawake wengi huko mtaan hawana Ndoa, na wanahitaji stara, kuliko Mume akazini huko nje na kuongeza list ya vimada si bora aoe tu apate thawabu na astiri Wanawake wenzetu,
Anaonekana ana hofu ya MUUMBA na anajilinda ndio maana ameogopa asije mtia dhima huyo atakaekua mume wake ndio maana ametaka hivi,nimemuelewa sana huyu dada
Mm ni mke wa kwanza Bahati mbaya Mume wangu ana wake wanne tayari ila MWENYEZI MUNGU atakupatia Mume mwema dear
Mashallah WANAWAKE wenye akili na hekima kama wewe mmebaki wachache Sana.Assalaam Alaykum!
Mm ni mwanamke wa Kiislam umri
(30),Sijawahi Kuolewa na wala sina mtoto
Nahitaji Mume Mwenye Sifa hizi:-
Awe Muislam,
Awe yuko ndani ya Ndoa tayari,
Umri kuanzia 35-50,
Awe anajiweza mwenye kipato,
Nahitaji Mume sharti awe ameshaoa nahitaji (UKEWENZA) niwe mke wa pili, watatu na wa nne kikubwa awe Muislam,Mwenye hofu ya ALLAH SWT na-Muadilifu,
N.B NAOMBA KUTILIA UZITO lazma awe ameshaoa kwasababu ya nature ya kazi yangu Safari za hapa na pale ivyo akiwa hajaoa ntamueka kwenye hatari kubwa ya UCHAFU-ZINAA kwa kuogopa dhima hiyo mbele ya ALLAH SWT ntakapokua safarini najua atakua salama katika zamu za WAKEWENZA wenzangu,
Alie serious na Mwenye sifa hizo tafadhali naomba aje (in-box),
Wabillah Tawfiq!
Babe wako ni nani financial services coz hiyo chance nilikuwa naihitaji me, dah, yaani ushakuwa occupied. Nimeumia sanaMungu saidia babe wangu asiuone huu uzi aisee, mambo ya uke wenza tena duh, dada hizo safari ndyo zinakufanya usiwe na wivu hata kidogo,vipi na wewe ukiwa huko safarini sasa utakua salama pia?,ila kila rakheri.
Yalaaah, ushafika umeouona[emoji849] ,please fumba macho hivo hivo pita hivi. .
Jee hiyo safari unazokwenda ww huko hutochipuka kwa sababu itakua uko pekeyako??Assalaam Alaykum!