Dada Makini Member Joined Aug 27, 2010 Posts 28 Reaction score 52 Jul 3, 2019 #1 Husika na kichwa cha habari. Nahitaji mzani wa kupimia bidhaa dukani. Mfano wa picha hii. Bajeti yangu ni 40,000. Napatikana Dar Mbezi Luis.
Husika na kichwa cha habari. Nahitaji mzani wa kupimia bidhaa dukani. Mfano wa picha hii. Bajeti yangu ni 40,000. Napatikana Dar Mbezi Luis.
BABA PAROKO 92 Member Joined Jun 17, 2019 Posts 92 Reaction score 79 Jul 3, 2019 #2 Bei ya hio mizani unaifaham kwa mpya dukani? Hata kama ni sahani yaketu huwezi kupata! Leta 170 nikupe mzani
Bei ya hio mizani unaifaham kwa mpya dukani? Hata kama ni sahani yaketu huwezi kupata! Leta 170 nikupe mzani
Dada Makini Member Joined Aug 27, 2010 Posts 28 Reaction score 52 Jul 3, 2019 Thread starter #3 BABA PAROKO 92 said: Bei ya hio mizani unaifaham kwa mpya dukani? Hata kama ni sahani yaketu huwezi kupata! Leta 170 nikupe mzani Click to expand... Dukani mpaka 85k. Hiyo ni bei ya leo kariakoo.
BABA PAROKO 92 said: Bei ya hio mizani unaifaham kwa mpya dukani? Hata kama ni sahani yaketu huwezi kupata! Leta 170 nikupe mzani Click to expand... Dukani mpaka 85k. Hiyo ni bei ya leo kariakoo.
Dada Makini Member Joined Aug 27, 2010 Posts 28 Reaction score 52 Jul 4, 2019 Thread starter #4 Fursa ya biashara kwa mwenye mzani jamani.
NAJIDAKIA STORE JF-Expert Member Joined Nov 26, 2018 Posts 261 Reaction score 126 Jul 9, 2019 #6 Dada Makini said: Dukani mpaka 85k. Hiyo ni bei ya leo kariakoo. Click to expand... kariakoo wapi Mkuu nami nautafuta
Dada Makini said: Dukani mpaka 85k. Hiyo ni bei ya leo kariakoo. Click to expand... kariakoo wapi Mkuu nami nautafuta
Marashi JF-Expert Member Joined Apr 14, 2018 Posts 2,876 Reaction score 4,528 Jul 9, 2019 #7 Dada Makini said: Dukani mpaka 85k. Hiyo ni bei ya leo kariakoo. Click to expand... Labda kama hupewi risiti ya EFD
Dada Makini said: Dukani mpaka 85k. Hiyo ni bei ya leo kariakoo. Click to expand... Labda kama hupewi risiti ya EFD
K Katufu JF-Expert Member Joined May 8, 2012 Posts 523 Reaction score 309 Jul 9, 2019 #8 Kariakoo sokoni ndani ya jengo kuu inapatikana, mizani ya Tanzania 150,000 na ya India 170,000. Nadhani mazungumzo yapo nimepita hapo leo mchana
Kariakoo sokoni ndani ya jengo kuu inapatikana, mizani ya Tanzania 150,000 na ya India 170,000. Nadhani mazungumzo yapo nimepita hapo leo mchana
Dada Makini Member Joined Aug 27, 2010 Posts 28 Reaction score 52 Jul 9, 2019 Thread starter #9 Katufu said: Kariakoo sokoni ndani ya jengo kuu inapatikana, mizani ya Tanzania 150,000 na ya India 170,000. Nadhani mazungumzo yapo nimepita hapo leo mchana Click to expand... Uko sahihi kasoro hapo tu kwenye bei. Bei zipo hata chini ya hapo kama mzani si wa digital.
Katufu said: Kariakoo sokoni ndani ya jengo kuu inapatikana, mizani ya Tanzania 150,000 na ya India 170,000. Nadhani mazungumzo yapo nimepita hapo leo mchana Click to expand... Uko sahihi kasoro hapo tu kwenye bei. Bei zipo hata chini ya hapo kama mzani si wa digital.
Dada Makini Member Joined Aug 27, 2010 Posts 28 Reaction score 52 Jul 9, 2019 Thread starter #10 NAJIDAKIA STORE said: kariakoo wapi Mkuu nami nautafuta Click to expand... Sokoni mkuu.
Job Richard JF-Expert Member Joined Feb 8, 2013 Posts 3,875 Reaction score 2,201 Jul 9, 2019 #11 Dada Makini said: Sokoni mkuu. Click to expand... Niliwahi kuuliza nilikuta mzani uliopimwa mkipunguziana mwisho 120,000 vipi Ndugu umeuliza hii bei ya 85,000 lini?
Dada Makini said: Sokoni mkuu. Click to expand... Niliwahi kuuliza nilikuta mzani uliopimwa mkipunguziana mwisho 120,000 vipi Ndugu umeuliza hii bei ya 85,000 lini?
Z zwenge ndaba JF-Expert Member Joined Aug 16, 2016 Posts 2,037 Reaction score 3,604 Jul 9, 2019 #12 Manzese argentina kuna jamaa anauza bei rahisi
Dada Makini Member Joined Aug 27, 2010 Posts 28 Reaction score 52 Jul 9, 2019 Thread starter #13 Job Richard said: Niliwahi kuuliza nilikuta mzani uliopimwa mkipunguziana mwisho 120,000 vipi Ndugu umeuliza hii bei ya 85,000 lini? Click to expand... Ilikuwa tarehe 3/7 mkuu. Ulikuwa ule wa bati sio wa dongo.
Job Richard said: Niliwahi kuuliza nilikuta mzani uliopimwa mkipunguziana mwisho 120,000 vipi Ndugu umeuliza hii bei ya 85,000 lini? Click to expand... Ilikuwa tarehe 3/7 mkuu. Ulikuwa ule wa bati sio wa dongo.