Ninahitaji mwenza wa maisha wa muda mwanamke kuanzia July 1st, 2014 hadi june 30th, 2015
Jukumu:
Kuniliwaza
Sifa:
1. Awe na afya njema umri kuanzia miaka 18 to 35.
2. Awe na elimu inayomsaidia kuishi bila taabu katika karne hii
3. Asiwe na kazi inayombana sana
4. Awe anaishi Dar au awe tayari kuhamishia shughuli zake Dar.
5. Asiwe maarufu ( Msanii, mwanamichezo, mwanasiasa etc).
6. Asiwe anahitaji mtoto kwa sasa.
7. Asiwe anatumia pombe/sigara kwa kiasi cha juu.
8. Asiwe Mchoyo
Benefits
1. Chakula na malazi bure kwenye nyumba iliyopo karibu na bahari
2. matibabu bure.
3. Usafiri wa kwenda kazini na kurudi ndani ya Dar self driving/ au aendeshwe bure kwa 2012 model sports car
4. Shopping yake binafsi ya 2.5m kila mwezi.
5. Pocket money ya siku 100,000/-.
6. Atapumzika siku 6 kila mwezi aweze kufanya mambo yake binafsi.
7. Mafao mwisho wa mkataba yapo kuanzia 24m na kuendelea kutokana na juhudi zako
Hakuna kupika, laundry wala house cleaning business. Labda apende mwenyewe.
This contract is renewable kama tutaona inafaa.
Atakayekuwa interested anipm kwa maelekezo zaidi
Im serious nataka niwe wazi. Huyu niliye naye anamipango yake ambayo itatufanya tusiwe pamoja. Tumekubaliana tukiss goodbye mwisho wa June mwaka huu. Sipendi kuzungukakuzunnguka ndiyo maana nimeamua kiwa wazipost za hv ndo znafanya hata walio serious kutafta wenza kuonekana hawako serious!
hizi si pesa nyingi, hata hivyo sijui unarefer wapi hadi useme ni nyingi. Kwangu ndiyo budget niliyojiwekea. Do u know how much you you take from your hb/bf?? Au kwa sababu hapigi total?? Believe me anakulipa zaidi ya hiiAiseee! Kwanini usisaidie ndugu zako kwa hela zote hizo?
Haya fursa hiyo kina dada kazi kwenu
Ninahitaji mwenza wa maisha wa muda mwanamke kuanzia July 1st, 2014 hadi june 30th, 2015
Jukumu:
Kuniliwaza
Sifa:
1. Awe na afya njema umri kuanzia miaka 18 to 35.
2. Awe na elimu inayomsaidia kuishi bila taabu katika karne hii
3. Asiwe na kazi inayombana sana
4. Awe anaishi Dar au awe tayari kuhamishia shughuli zake Dar.
5. Asiwe maarufu ( Msanii, mwanamichezo, mwanasiasa etc).
6. Asiwe anahitaji mtoto kwa sasa.
7. Asiwe anatumia pombe/sigara kwa kiasi cha juu.
8. Asiwe Mchoyo
Benefits
1. Chakula na malazi bure kwenye nyumba iliyopo karibu na bahari
2. matibabu bure.
3. Usafiri wa kwenda kazini na kurudi ndani ya Dar self driving/ au aendeshwe bure kwa 2012 model sports car
4. Shopping yake binafsi ya 2.5m kila mwezi.
5. Pocket money ya siku 100,000/-.
6. Atapumzika siku 6 kila mwezi aweze kufanya mambo yake binafsi.
7. Mafao mwisho wa mkataba yapo kuanzia 24m na kuendelea kutokana na juhudi zako
Hakuna kupika, laundry wala house cleaning business. Labda apende mwenyewe.
This contract is renewable kama tutaona inafaa.
Atakayekuwa interested anipm kwa maelekezo zaidi
mhhhhh hiyo id yako nahisi majanga Rohombaya
Hofu yako tu. Lakini mwanamke ni wa kusaidiwa/kulelewa tu. Ndiyo asili yetu wanadamu, na hata kwa wanyama na ndege.. Au kwasababu nimekuwa open sana? Lakini kuwa open mwanzo kabisa ni vizuro ili kula mmoja ajue yupo ndani ya nini.Kweli kazi kwetu tushindwe sisi tu
Ila usije shangaa unaonana nae af anakupa kobe umnyonyeshe hapo ndipo akili itakapokukaa sawa
Hofu yako tu. Lakini mwanamke ni wa kusaidiwa/kulelewa tu. Ndiyo asili yetu wanadamu, na hata kwa wanyama na ndege.. Au kwasababu nimekuwa open sana? Lakini kuwa open mwanzo kabisa ni vizuro ili kula mmoja ajue yupo ndani ya nini.
Au mnapenda kudanganywa kisha baadaye mtelekezwe? Hili ndilo mie siliamini