Nina
miaka 35 black beuty, umbo la kibantu nilishawahi kuolewa na nina
wat
oto watatu, ni mkristo,mpole, mvumilivu na mcha Mungu, mwenza awe mwenye upendo, heshima, mvumilivu
na anayejishughulisha au mwajiriwa awe dini yoyote umri 36-45,
nimeajiriwa serikalini,