Mbalamwezi1
JF-Expert Member
- Dec 20, 2013
- 2,073
- 2,027
Wapi Miss Natafuta??fursa adhim hiiHabari wa j4 kwamala ya kwanza najitokeza kuwatangazia natafuta mwanamke ambae nitabadilishana nae mawazo na mapenzi tutakapo itaji ila angalizo siitaji kuoa ila nitadumu nae kwenye uhusiano labda hapo badae kama nitabadilisha mawazo yangu twaweza oana sifa mwenye kujiheshimu,msili na si king'ang'anizi na mwenye upendo wakunibadisha ninapo kosea kimaisha nimeajiliwa selikalini pesa ndogo ndogo sihaba hainipigi chenga kwayoyote alieguswa nahuu ujumbe waweza nijibu inbox mda wowote kwani sijaoa nitakujibu na kukutumia picha yangu umri wangu nina miaka 29
kijana wa ''Mulugo'' utamwona tu anavojikanyaga.....Habari wa j4 kwamala ya kwanza najitokeza kuwatangazia natafuta mwanamke ambae nitabadilishana nae mawazo na mapenzi tutakapo itaji ila angalizo siitaji kuoa ila nitadumu nae kwenye uhusiano labda hapo badae kama nitabadilisha mawazo yangu twaweza oana sifa mwenye kujiheshimu,msili na si king'ang'anizi na mwenye upendo wakunibadisha ninapo kosea kimaisha nimeajiliwa selikalini pesa ndogo ndogo sihaba hainipigi chenga kwayoyote alieguswa nahuu ujumbe waweza nijibu inbox mda wowote kwani sijaoa nitakujibu na kukutumia picha yangu umri wangu nina miaka 29
kitu muhimu ktk maisha ni siri nduguyanguSiri za nn tena?
kama umeelewa haina haja yakuangalia mwandikokijana wa ''Mulugo'' utamwona tu anavojikanyaga.....
asante kwakunitia moyoKila la kheri Mkuu usisahau kuleta mrejesho ukifanikiwa.
hahaha kuchunwa ni kupenda tu kiongoziHusijari we wasubili kidogo wenziho wa selikalini watakuja naho ni wasili sana hila kwamala ya kwanza watakuchuna sihaba.
ndani ya mapenzi kuna vitu vingi sana si kila mmoja umweleze unavo jisikia au anavo kugusa example kwenye 6/6 navingine vingiUsiri huo unaoutaka ni wa nini mkuu?! Hapo ndipo uliponishtua....
umenichekesha sana kumbe kuna walio laaniwa umewajuaje hao mkuu wakati hukumu badohakuna mwanamke aliyezaliwa kuwa na malengo duniani wrote waliumbwa wasaidizi. yaani akikukuta unazibua vyoo malengo anaanzia hapo kinyume na hivyo useme unataka kulelewa na wanawake waliolaaniwa.
kweli nduguMjinishure......
Mjinishule......lazma hapa uhitaji mtu msiri.....
lipo wapitatizo lipo
kua na ufahamu bila kujitambua nasawa na ndizi bila magandaselikari ya wapi sasa au ya Ilinga ?
Kua = Kuwakua na ufahamu bila kujitambua nasawa na ndizi bila maganda