mjinishure
Member
- Oct 19, 2012
- 86
- 56
Una kipaji cha uandishi mkuu. Kila la heri!Habari wa j4 kwamala ya kwanza najitokeza kuwatangazia natafuta mwanamke ambae nitabadilishana nae mawazo na mapenzi tutakapo itaji ila angalizo siitaji kuoa ila nitadumu nae kwenye uhusiano labda hapo badae kama nitabadilisha mawazo yangu twaweza oana sifa mwenye kujiheshimu,msili na si king'ang'anizi na mwenye upendo wakunibadisha ninapo kosea kimaisha nimeajiliwa selikalini pesa ndogo ndogo sihaba hainipigi chenga kwayoyote alieguswa nahuu ujumbe waweza nijibu inbox mda wowote kwani sijaoa nitakujibu na kukutumia picha yangu umri wangu nina miaka 29
Habari wa j4
Husijari we wasubili kidogo wenziho wa selikalini watakuja naho ni wasili sana hila kwamala ya kwanza watakuchuna sihaba.
Nimecheka sanaaaaaa aiseeeeehDah,,,,,,,,,hii ni zaidi ya mbele.........
Hata we mkuu una kipaji cha uandishi. Kila la kheri!Husijari we wasubili kidogo wenziho wa selikalini watakuja naho ni wasili sana hila kwamala ya kwanza watakuchuna sihaba.
Nakwambia ni kazi. Hata Ndalichako tunamlaumu bure tu. Elimu yetu ina matatizo makubwa. Na huyu usishangae kukuta naye ni mhitimu tena wa UDSM kabisa!Dah,,,,,,,,,hii ni zaidi ya mbele.........
Wengine hawajaakuelewa mkuu, mi nimekuelewa.Husijari we wasubili kidogo wenziho wa selikalini watakuja naho ni wasili sana hila kwamala ya kwanza watakuchuna sihaba.
Huyu anamsanifu jamaa tuDah,,,,,,,,,hii ni zaidi ya mbele.........