By the way if you are serious na upo mjini specifically Arusha unaweza ukaenda pale Alliance Francais ya Arusha, wapo vizuri sana na wana mazingira bora zaidi ya kukufundishia, pia walimu ni wafaransa, wakongo na wengine kutoka burundi na Congo na nchi zingine ambazo wanatumia French kama lugha ya taifa. Nimesoma kwa miezi sita tu na nipo vizuri na nina cheti kinachotambulika kimataifa. Pia wana library na multimedia room ambayo ipo connected na internet mda wote pia unaweza ukasoma online kwa kupitia
ALLIANCE FRANCAISE D'ARUSHA