Miaka ya wadada wa aina hii ni wasumbufu sana tena bora ungesema mchagaa wa wapi ila kuishia mchaga mhhh kazi ipo pia hujasema elimu yako ila unahitaji mwenye degree, kingine hujasema unafanya nini ila unayemtaka unataka alijiajiri au ameajiriwa, , Pia unahitaji mwenye upendo , Mkweli na mwaminifu wewe hujajieleza kama hivyo unavyo.. Kikubwa tengeneza tangazo lako upya