Sorry, mimi naandika script za comedy za filamu sipo!Anyway, kwenye hiyo thread yako namba nne ni HELMET si ELEMENT.
Hapana kiongozi! Script za comedy na filamu ni yai na tembo, havifanani kwa lolote!ok! bilashaka unaweza kuandika flm pia mbona tofauti sio kubwa.
Hapana kiongozi! Script za comedy na filamu ni yai na tembo, havifanani kwa lolote!