Nahitaji mtu wa kutengeneza website ya biashara

Nahitaji mtu wa kutengeneza website ya biashara

BabuLeo

Member
Joined
Sep 12, 2018
Posts
29
Reaction score
13
Habari zebu
Niko kwenye mchakato wa kuanzisha biashara ya Financial Consultancy. Nahitaji kujitangaza na nimefikiria njia sahihi ni kwa kutumia teknolijia ya habari.
Naomba Kama kuna mtaalam anayeweza kunisalidia katika hili kwa mawazo na kufanya.
teknolojia namaanisha maeneo Kama website na mitandao ya kijamii.
Shukrani kwa msaada
 
Huduma yako inatarget watu wa wapi?Tanzania au nje ya nchi.
 
Back
Top Bottom