Nahitaji mtu wa kutengeneza website ya biashara

BabuLeo

Member
Joined
Sep 12, 2018
Posts
29
Reaction score
13
Habari zebu
Niko kwenye mchakato wa kuanzisha biashara ya Financial Consultancy. Nahitaji kujitangaza na nimefikiria njia sahihi ni kwa kutumia teknolijia ya habari.
Naomba Kama kuna mtaalam anayeweza kunisalidia katika hili kwa mawazo na kufanya.
teknolojia namaanisha maeneo Kama website na mitandao ya kijamii.
Shukrani kwa msaada
 
Mkuu karibu Sana,
Tunatengeneza website Kwa bei nafuu kabisa ya Nyumbani, hosting pamoja na domain nzuri.
Pia speed ya site yako inakuwa na ubora.

Naomba kama upo serious na unahitaji, tuwasiliane Kwa mkuu.

Dar es salaam.
 
Habari zebu
Niko kwenye mchakato wa kuanzisha biashara ya Financial Consultancy. Nahitaji kujitangaza na nimefikiria njia sahihi ni kwa kutumia teknolijia ya habari.
Naomba Kama kuna mtaalam anayeweza kunisalidia katika hili kwa mawazo na kufanya.
teknolojia namaanisha maeneo Kama website na mitandao ya kijamii.
Shukrani kwa msaada
Call. 0769546598
 
Mkuu call 0759702766 Nikuonyeshe kazi tulizofanya km utalizika nazo na ww nikutengenezee website nzuri na nitakuuelekeza jinsi ya kujitangaza kwenye social media
 
Back
Top Bottom