mama mhaya
Member
- Mar 18, 2015
- 7
- 1
Asante dada NEEMA ngoja niku pmKuku wazuri waliochanjwa chanjo ya MAREKSI siku ya kuzaliwa si chini ya 2,500=kifaranga kimoja
kuku mmoja huwa anakula kg 0.125 kwa siku
kwa hiyo kuku 400 wanakula mfuko wa kg 50 kwa siku.
Kuku mmoja mpaka atage anakula kg 8
kwa hiyo hao kuku wako 500 watakula kg 4,000 sawa na mifuko 80 ya kg ya chakula mpaka watage
mambo mengune ni PM.
kuku wazuri waliochanjwa chanjo ya mareksi siku ya kuzaliwa si chini ya 2,500=kifaranga kimoja
kuku mmoja huwa anakula kg 0.125 kwa siku
kwa hiyo kuku 400 wanakula mfuko wa kg 50 kwa siku.
Kuku mmoja mpaka atage anakula kg 8
kwa hiyo hao kuku wako 500 watakula kg 4,000 sawa na mifuko 80 ya kg ya chakula mpaka watage
mambo mengune ni pm.
neema...roho mbaya umejifunzia wapi?...mbona mie nakujua vizuri huna na wala hukuwahi kuwa na roho mbaya kiasi cha kutunyima elimu ya bureeeee watanzania wenzako...behu njoo uweke yote hayo uliyonayo huko pm...weka hapa tusome wote...unaficha desa utadhani mwisho wa siku utakuwa mshindi wa kwanza na kupigiwa makofi.
Mwaga nchele tule wote somoooo....
Mkuu unaonekana uko vyema sana kwenye ujasiriamali.Kuku wazuri waliochanjwa chanjo ya MAREKSI siku ya kuzaliwa si chini ya 2,500=kifaranga kimoja
kuku mmoja huwa anakula kg 0.125 kwa siku
kwa hiyo kuku 400 wanakula mfuko wa kg 50 kwa siku.
Kuku mmoja mpaka atage anakula kg 8
kwa hiyo hao kuku wako 500 watakula kg 4,000 sawa na mifuko 80 ya kg ya chakula mpaka watage
mambo mengune ni PM.
Kuku wazuri waliochanjwa chanjo ya MAREKSI siku ya kuzaliwa si chini ya 2,500=kifaranga kimoja