lovefamily
Member
- Mar 20, 2017
- 18
- 3
Nimekupenda bure we me/keAisee wewe mbinafsi,una mtoto halafu unabagua mwanamke aliye na mtoto mmh utakua na matatizo kibao ndio maana ndoa ya kwanza ikakushinda.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] mbavu zangu mie!!!!wewe hutafuti mke unatafuta mtu wakukulea maana ushazeeka tayari
alaf ulivyokuw mjanja unatafuta vi binti duuuuh
[emoji15] [emoji15] [emoji15]ngoja nipige ramli kama unanifaa
Nimependa avatar ykWow! Age yako iko poa.. Wish i could be hata rafk ako coz ushafanya meng now umesettle
Mungu atabaguaje wakati watu wote ni wake? Lakini mwanadamu yeyote lazima awe na vigezo vya yule amtakaye ili angalau kwa sehemu nafsi yake iridhike. Na Mungu anasema ukiomba lolote sawa sawa na mapenzi yake utapewa. Na hakuna sehemu specific ya kupata mke, Mungu anaweza kukukutanisha na mwenzio hata kupitia mtandaoni.Mkuu Mungu wetu habagui wewe umeanzaje???? Ukikupa mwenye vigezo tofauti na hivyo utamkataa????
Ushauri wangu ingia kwenye maombi akufunulie kama yupo aliyekuwekea.
Kwani kuna kigezo gani kigumu hapo? Maana wenye sifa hizo wapo. Na kwa taarifa yako huyo wa kwanza alijitariki mwenyewe kwa ujinga wa kupotoshwa na watu na sasa anajuta. Mimi nasonga mbele na mwanangu.Kwa vigezo hivyo ulistahiki kabisa kumpa talaka mkeo
Hataki wachawi kasema[emoji23]ngoja nipige ramli kama unanifaa
Hakuna ubinafsi hapo! Mtoto huwa ni wa baba, hivyo sihitaji kuingia mashaka kisa eti baba wa mtoto ana mazungumzo na mke wangu. Na kwa walio wengi utakuta kigezo cha mtoto kinawarudisha kwenye mahusiano. Upande wangu toka huyo mwanamke aondoke nilikata mahusiano kabisa, na haitakuwa tena, sasa miaka sita imepita. Labda mtoto awe amefiwa na baba.Aisee wewe mbinafsi,una mtoto halafu unabagua mwanamke aliye na mtoto mmh utakua na matatizo kibao ndio maana ndoa ya kwanza ikakushinda.
Kwani kuna kigezo gani kigumu hapo? Maana wenye sifa hizo wapo. Na kwa taarifa yako huyo wa kwanza alijitariki mwenyewe kwa ujinga wa kupotoshwa na watu na sasa anajuta. Mimi nasonga mbele na mwanangu.
Hakuna ubinafsi hapo! Mtoto huwa ni wa baba, hivyo sihitaji kuingia mashaka kisa eti baba wa mtoto ana mazungumzo na mke wangu. Na kwa walio wengi utakuta kigezo cha mtoto kinawarudisha kwenye mahusiano. Upande wangu toka huyo mwanamke aondoke nilikata mahusiano kabisa, na haitakuwa tena, sasa miaka sita imepita. Labda mtoto awe amefiwa na baba.
Huo ni mtazamo wako. Kisheria anayepaswa kutoa huduma za mtoto ni baba. Na mimi sitimui mke labda ajitimue mwenyewe. Na kama nikifanya hivyo si qualify kuoa tena, maana nitakuwa na hatia. Biblia inasema yeye asiye amini akitaka kuondoka na aondoke, ndipo huyo ndg mme au mke yu huru. Huyu alijitimua nwenyewe kwa kudhani amepata sasa anajuta, mtoto alimwacha mwenyewe akiwa na 2 yrs. Sikubabaika, nimemlea mwenyewe kwa hadi sasa she is 8yrs karibia 9yrs.Una mawazo ya kizamani sana,hapo unamaanisha hata huyu mpya atakae jitokeza mkishindwana(huku mmeshapata mtoto mwingine)utamnyang'anya mtoto kwa kigezo mtoto ni wa baba.