Habari wana JF,
Nina mpango wa kufuga samaki kwa matumizi binafsi (chakula nyumbani). Samaki hao ninataka kuwafuga katika eneo ninaloishi. Hivyo, ninaomba yeyote anayefahamu mtu anayeweza kuwa mshauri mzuri wa ujenzi wa bwawa la samaki, naomba aniunganishe naye