Mimi n muathirika wa masikio yani hayasikii vizuri na nina athari zifuatazo:
1. Yanauguruma kwa ndani
2. MTU akiongea namsikia ila cjui anamanisha nini
3. Akiwa mbali akiongea ndio sisikii kabsa
4. Hayaumi wala kutoa usaha nlienda hospital kupima nkapewa sawa za neuroton nmetumia lakini hazijanisaidia chochote.
Please; kwa kuchukua tu tahadhari kwa wengine punguzeni/acheni matumizi ya earphone/headphone
Yani earphone zinauzwa buku kkoo kijana kutwa nzima kaivaa masikioni mziki mkubwa ati fashion
Pole sana ndugu naimani utasaidika ,Mungu ni mwema sana