Nime google sana ndugu lakini wapiSijawahi code React Lakini Cheki tutorials Yt jinsi ya Kusetup Reat na VsCode
Yuko api? MkuuKuna Moja ya devEd i saw anaelekeza
Nyongeza!Mimi nahitaji kutengeneza app kwa kutumia react native kwenye visual studio nimesha set kila kitu kwaajli Ku code,, lakini kila Niki run react-native run-android kuna errors znatokea nmepambana xana kwakutumia mpaka Google lkn bdo cja fanikiwa, naomba kama kuna mtu anaweza nipo Dar nije anisaidie, na inatokea error hii.
View attachment 1727998
Youtube Search devEdYuko api? Mkuu
Utahangaika Sana namna hii, yaani unashindwa kutumia pc kufanya snapshot ama kukopy hizo error na kuweka hapa, sasa unatafuta mtu Dar aiseh.Mimi nahitaji kutengeneza app kwa kutumia react native kwenye visual studio nimesha set kila kitu kwaajli Ku code,, lakini kila Niki run react-native run-android kuna errors znatokea nmepambana xana kwakutumia mpaka Google lkn bdo cja fanikiwa, naomba kama kuna mtu anaweza nipo Dar nije anisaidie, na inatokea error hii.
View attachment 1727998
Mbn nmeweka screeshot mzeeNyongeza!
Jifunze pia kutengeneza screenshot au kushare errors ambazo kila mtu anaweza kuzisoma.
Mbna screenshot ipo kakaUtahangaika Sana namna hii, yaani unashindwa kutumia pc kufanya snapshot ama kukopy hizo error na kuweka hapa, sasa unatafuta mtu Dar aiseh.
Hiyo sio screenshot hiyo ni picha umepiga kwa simu maneno hayasomeki.Mbn nmeweka screeshot mzee
Zote nafanya na sioni tofauti sanaJifunze kuandika professionally. Xana, mbn ni vitu gani hivyo?
Error message ipo wazi. Kama hujaielewa maana yake kaanza na basics za Android SDK na ADB.
Ndio maan ni bora kutumia Native Android na Kotlin/Java haswa kama ni beginner.
Tofauti ipi ambayo huioni?Zote nafanya na sioni tofauti sana
Point ambayo hawa "native app developers" wana miss ni hii..Nope, Kwan Ukitumia React na Dart kama Beginner kuna Ubaya, Atumie Framework na Language ambayo kwake sio Ngumu na haimsumbui