OGOPASANA JF-Expert Member Joined Apr 30, 2009 Posts 262 Reaction score 144 Apr 22, 2013 #1 Kichwa cha habari chahusika hapo juu. Nawiwa kuomba mkopo wa kiasi cha Mil 70 kwa interest isiyozidi 3% kwa mwezi , ninaweza kurejesha kwa kipindi cha miezi 12. Nitaweka nyumba ya vyumba 10 iliyopo Mvuti kama dhamana.
Kichwa cha habari chahusika hapo juu. Nawiwa kuomba mkopo wa kiasi cha Mil 70 kwa interest isiyozidi 3% kwa mwezi , ninaweza kurejesha kwa kipindi cha miezi 12. Nitaweka nyumba ya vyumba 10 iliyopo Mvuti kama dhamana.