N nkungu mwere JF-Expert Member Joined Sep 6, 2018 Posts 258 Reaction score 336 Dec 15, 2018 #1 Wandugu kama kichwa cha habari kinavyosomeka,nina hitaji mkopo wa milioni 4, 500,000 kutoka taasisi yoyote au mtu binafsi dhamana yangu ni kadi ya gari toyota noah,muda wa mkopo miezi 6 tu riba atasema mkopeshaji,eneo moshi/arusha,pls wandugu
Wandugu kama kichwa cha habari kinavyosomeka,nina hitaji mkopo wa milioni 4, 500,000 kutoka taasisi yoyote au mtu binafsi dhamana yangu ni kadi ya gari toyota noah,muda wa mkopo miezi 6 tu riba atasema mkopeshaji,eneo moshi/arusha,pls wandugu
Mzee Saliboko JF-Expert Member Joined Jan 29, 2018 Posts 1,326 Reaction score 1,041 Dec 15, 2018 #2 Jamani ulikuwa hauhitaji kutuambia wanaforum wakati unajua benk zipo,tala nk
F FRESHMAN JF-Expert Member Joined Sep 29, 2011 Posts 9,507 Reaction score 36,166 Dec 15, 2018 #3 benk ndipo utapat msaada huku.. utatapeliwa tu.. unless nawe uwe ni tapeli unataka tapeli mtu m 4
N nkungu mwere JF-Expert Member Joined Sep 6, 2018 Posts 258 Reaction score 336 Dec 15, 2018 Thread starter #4 MaluguMlp said: Jamani ulikuwa hauhitaji kutuambia wanaforum wakati unajua benk zipo,tala nk Click to expand... Hukupaswa kunibeza wakati unajua jibu,ungenishauri tu tala,benk,nk
MaluguMlp said: Jamani ulikuwa hauhitaji kutuambia wanaforum wakati unajua benk zipo,tala nk Click to expand... Hukupaswa kunibeza wakati unajua jibu,ungenishauri tu tala,benk,nk
N nkungu mwere JF-Expert Member Joined Sep 6, 2018 Posts 258 Reaction score 336 Dec 15, 2018 Thread starter #5 FRESHMAN said: benk ndipo utapat msaada huku.. utatapeliwa tu.. unless nawe uwe ni tapeli unataka tapeli mtu m 4 Click to expand... Umeenda mbali,lkn nakusamehe
FRESHMAN said: benk ndipo utapat msaada huku.. utatapeliwa tu.. unless nawe uwe ni tapeli unataka tapeli mtu m 4 Click to expand... Umeenda mbali,lkn nakusamehe
marybaby JF-Expert Member Joined Apr 11, 2017 Posts 3,260 Reaction score 9,197 Dec 15, 2018 #6 FRESHMAN said: benk ndipo utapat msaada huku.. utatapeliwa tu.. unless nawe uwe ni tapeli unataka tapeli mtu m 4 Click to expand... [emoji38][emoji38][emoji38]
FRESHMAN said: benk ndipo utapat msaada huku.. utatapeliwa tu.. unless nawe uwe ni tapeli unataka tapeli mtu m 4 Click to expand... [emoji38][emoji38][emoji38]