Nahitaji mkopo wa dharura

jembelamkono

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2015
Posts
2,733
Reaction score
2,020
Habari za asubuhi wakuu,
Nahitaji mkopo mdogo wa dharura nitakao ulipa ndani ya mwezi,
Riba ya mkopo ni makubaliano kati yangu na mkopaji.
Dhamana ni mali zilizopo kwenye biashara yangu.
Mwenye kutoa mkopo huu tuwasiliane kwa PM kwa maongezi zaidi.
Shukrani sana.
 
African microfinance ltd
Aridhi road
 
Kiasi gani unahitaji.
Collateral unaleta nyumbani kwangu au havihamishiki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…